aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, February 18, 2014

Ncha Kali na Dina Marios wa Clouds Fm Wamwanika Mtoto wao waliyempata hivi Karibuni…!!

Hiki ni kipindi cha furaha kwa mtangazaji wa kipindi cha ‘Leo Tena’ cha Clouds FM Dina Marios, ambaye baada ya kutosikika kwa kipindi kirefu kutokana na kuwa mjamzito amefanikiwa kujifungua mtoto wa kiume.
Dina ameshare picha ya mtoto wake ambaye yeye na mzazi mwenzake Reuben Ndege aka Ncha Kalih wamempa jina la Zion, na kuandika:
zion
Mtoto wa Dina Marious na Reuben Ndege ‘Zion’
“Na ataitwa jina lake,Zion!…thank you lord and wote kwa sala na dua zenu.Mimi na baby wangu @nchakalih tumeingia rasmi kwenye dunia ya uzazi.”

Nchakalih na Dina Marios
Baba na mama Zion

Upande wa Ncha Kalih naye hakukosa kitu cha kumwambia baby mama wake:
Ncha kali