aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, February 3, 2014

KUMBE MZUNGU WA SHILOLE NI MWANAUME SHOGA aka PUNGA!

Yeleuuuwi! Siku chache baada ya msanii wa sinema na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kujinadi na mchumba wa Kizungu aliyejulikana kwa jina moja la Ankar, siri imefichuka kwamba jamaa huyo ni mwanaume tata.


POZI TATA: Ankar katika pozi.

 Kikizungumza na paparazi wetu kutoka London, Uingereza, wikiendi iliyopita, chanzo hicho makini kilisema mwanaume ambaye hivi karibuni Shilole alijinadi kuwa ni bwana’ke siyo kwani huko London baadhi ya watu wanamfahamu kama mwanaume tata kijinsia.


 
MAUNO: Ankar akikata mauno.

 “Yule jamaa anapenda sana kukaa na wanawake, sijawahi kumuona na wanaume wenzake, kazi kukata tu mauno na wanawake. Nilishangaa sana Shilole kusema eti ni mchumba’ke wakati hapa London (Uingereza) ni maarufu sana kwa kushiriki pati za wanawake.


WAPENZI: Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na 'mchumba wake', Ankar.

 “Maskini Shilole, pale imekula kwake, hakuna chochote,” kilisema chanzo hicho.

 Baada ya kunyetishiwa habari hizo, Paparazi wetu alimtafuta Shilole ambapo alikuwa na haya ya kusema:


 

PIPI YA KIJITI: Ankar akifyonza pipi ya kijiti.

 Jamani imeniuma sana kwani nilikuwa sijui, nimeligundua hilo baada ya kuambiwa na watu, nilipigiwa simu kutoka Uingereza kwamba yule mwanaume siyo hivyo sina mpango naye tena kwa kweli,” alisema Shilole anayetamba na kideo cha Nakomaa na Jiji.


 

TABASAMU: Ankar akitabasamu katika pozi.

credit: GPL

No comments:

Post a Comment