aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, May 30, 2014

SEHEMU INAYOMPANDISHA MZUKA MWANAMKE KULIKO ZOTE


Katika 
mwili wa mwanamke kunasehemu 
nyingi sana zinazoweza kumpa 
mshawasha na hamasa kubwa wakati 
wa tendo,achilia mbali sehemu nyingi 
zilizozoeleka na watu wengi kama vile 
kisimi, kuna sehemu 
moja ambayo ni bab kubwa kiasi cha 
kwamba mwanamke akishughulikiwa 
ipasavyo anaweza kukojoa mara mbili au 
zaidi kwa wakati mmoja. 
Sehemu hiyo si nyingine bali ni G SPOT 
au kwa Kiswahili baadhi ya watu huita 
kipele G, sehemu hii iko ndani ya uke 
umbali wa kama nchi tatu hivi ukuta wa 
juu.Sehemu hii ikiguswa tu mwanamke 
huhisi msisimuko wa ajabu kutokana na 
ukweli kwamba sehemu hii inahisia 
nyingi kuliko kawaida pale inapoguswa. 
Sehemu hii ni vigumu kidogo kuguswa 
kisawasawa kwa kutumia uume,badala 
yake njia muafaka ni kutumia kidole cha 
kati pale ambapo mwanaume unatakiwa 
uingize kidole chako kwenye uke wa 
mpenzi wako umbali kama wanchi tatu 
hivi kisha uwe kama unakunja kidogo 
kidole kwa juu ili uweze kugusa ukuta 
wa juu. 
Punde tu ukigusa sehemu hii utamsikia 
mwanamke kama ana ruka kidogo kwa 
juu na hapo hapo utamwona akilegeza 
macho na lazima usikie akifanya 
assshhhhhhhhhhh kutokana na hisia za 
utamu wa aina yake anaoupata mtu 
huyu. 
Ukishapatia kugusa sehemu hii 
unatakiwa uwe unanyoosha na kukunja 
kidole hicho cha kati ili kuweza kusugua 
sugua sehemu hiyo adimu katika uke wa 
mwanamke. Kitendo hiki cha kukunja na 
kunyoosha kidole hufanana na ishara ya 
mtu anapomwita mwenzie aliye mbali 
kwa kutumia mkono. 
Kadiri unavyomgusagusa mwanamke 
eneo hili,ndivyo sehemu hii hubadilika 
na kuanza kuwa ngumu kidogo na 
kila utakavyokuwa unaendelea ndivyo 
utakavyokuwa unamwongezea mpenzi 
wako kilio cha utamu..! Chezea G SPOT 
weweeee.

No comments:

Post a Comment