aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, May 6, 2014

SABABU KUBWA INAYOWAFANYA WANAWAKE WENGI WALALE NA WANAUME WENGI


Kuwa na Mpenzi asiyemridhisha, inaweza tokea mtu ana mtu wake lakini bado anahisi kama hayuko sehemu sahihi hivyo mara nyingi huwa hajisikii amani katika uhusiano, Siku za mwanzo atajitahidi kuvumilia ila baada ya muda uzalendo humshinda hivyo anaweza jikuta anajiachia kwingine na njemba zinachojoa chupi na kumsokomeza dude kama kawaida.
Kutoridhishwa huku inaweza kutokea katika Nyanja zifuatazo:

*Kiuchumi,yaani mwanaume amechacha hawezi kumhudumia mahitaji anayotaka.
*Kingono,yaani mwanamke anashindwa kufikishwa kileleni na kumfanya afurahie mapenzi kama wengine.
*Kitabia,hii hutokea pale mtu unapokuwa na mpenzi mwenye tabia tofauti ambazo hazikupi furaha hivyo anaamua kuachia ngazi na kupeleka uchi wake kwa jamaa mwingine.

Hivyo inashauriwa kuwa makini sana na mpenzi uliyenae na kumchunguza kama ni sahihi au la, ili asije akakutenda.