aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, May 28, 2014

Ni aibuuuuu MGANGA WA JADI AFUMWA AKIMLA URODA MGONJWA, TAZAMA HAPA

Binti mmoja hapa jijini Mbeya akaenda 

mganga mmoja maarufu kwa utabiri na 

kumwomba ampe 

dawa ama kumfanya awe mtabiri
  


Baada ya kufika kwa mganga na kumwelezea 


kilichompeleka, mganga akamtoa wasiwasi na 

kumwambia dawa keshapata na mganga akainuka 


kwenda kuifuata.

Mara mganga kaja na kondomu na kuanza 


kuivalisha kwenye uume wake.



Yule binti kadakia heeeeee wewe mganga wataka 


kunifanya nini asubuhi yote hii?

Mganga akamjimbu hongera sana naona ushakuwa 

mtabiri.

No comments:

Post a Comment