aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, May 20, 2014

DIVA AWEKA PICHA MTANDAONI AKILIWA DENDA NA MWANAUME MWINGINE, KISHA KUSEMA BABY WAKE GK SIYO MSWAHILI...!! TAZAMA PICHA HIYO HAPA

Penzi la mastaa wetu wa bongo, Diva ambaye ni mtangazaji wa Clouds FM na King Crazy GK ambaye ni msanii wa bongo flava, Limeingia kwenye mtego baada ya Diva kuweka PICHA kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM akiwa ana KISS na mfanyakazi mwenzake a k a Handsome wa Cloudsfm....PATAMU HAPO...Kwa kuelewa kuwa picha hii ni tata, Diva aliandika maneno haya jini ya picha hiyo; 
"handsome boy wa cloudsfm ... My baby akiona hii Picha je? unahisi atakasirika au?! lol"
...Tunasubiri kusikia upande wa GK.......Dah!! ila huyu mdada PRESHAPRESHA

No comments:

Post a Comment