aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, May 29, 2014

MCHUNGAJI ANASWA AKIFANYA MAPENZI

KATIKA  hali ya kushangaza , mchungaji mmoja huko nchini Nigeria amejikuta akiaibika baada ya video yake aliyokuwa  akimtomasa  mwanamke  wakati wa  maombi  kuvuja na kusambaa kitika mitandao mbali mbali ya kijamii.

Video hiyo ilirekodiwa kwa kutumia kamera zilizokuwa zimetegeshwa kitika ofisi ya mchungaji huyo bila yeye kujua.
Tazama video ya mchungaji huyo hapa