aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, May 23, 2014

USHAHIDI HUU HAPA WEMA SEPETU KUMSINDIKIZA MSANII DIAMOND THE PLATNUMZ KWENYE TUZO ZA BET AWARDS NCHINI MAREKANI 2014

Haya hatimaye leo tumemaliza ule ubishi wa watu waliokuwa wanabishana kuhusiana na swala zima la wema sepetu kumsindikiza diamond the platnumz kwenye tuzo za BET awards 2014 ,

 i hope mmeiona hiyo screen snap ambayo tumeichkua leo kupitia account ya instagram ya staa wema sepetu, akifunguka ya kuwa atamsindikiza diamond the platnumz kwenye awards hiyo, oo God mh eti itakuaje? Kwenye red carpet huku beyonce na jay z, na huku diamond the platnumz na wema sepetu haya kantangaze..

No comments:

Post a Comment