aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, May 23, 2014

MAIGIZO YA SIKUHIZI NISHIIDA... WAKIIGIZA UFUKWENI WAKIFANYA MAPENZI


Tumezoea kuona aina nyingi sana ya maigizo lakini hii sasa ni too much ,ni kawaida sana kumwona mtu akiigiza amelewa,anaumwa hata wakati mwingine anaweza kuigiza amekufa. 

Lakini kufikia hatua hii ya kuwaona watu wanaigiza kufanya mapenzi kwa kiwango hiki nadhani ni kuvuka mipaka kwani inaonesha dhahiri kabisa kwamba hapa mdada lazima ameingiziwa kitu kiukweli ukweli jambo linalowaweka wahusika katika wakati mgumu kwa mfano kupata maambukizo ya Ukimwi nk. pia hutoa mafunzo mabaya kwa watoto ambao hutegemea kujifunza mambo mema kutoka katika filamu au maigizo haya.