aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, May 20, 2014

ANGALIA PICHA AUAWA KWA KUKATWA KATWA MAPANGA MKOANI LINDI

Hamis Dadi

Na Abdulaziz Lindi

Pichani ni Marehemu  Hassan Hamis Dadi akitolewa kukimbizwa hospitalini baada ya kukatwa mapanga na mtu ambae hajafahamika aliemvamia akiwa kavaa Ninja akiwa shambani kwake katika kijiji cha Liteta Tarafa ya Mingoyo Lindi.

Hamis Dadi


Mgogoro ni wa shamba la Chumvi ambalo kulikuwa na kesi ambayo ameshinda katika Mahakama kuu lenye Ekta 21.


Hamis Dadi


Awali kabla ya tukio hilo Marehemu aliwahi pia kupigwa mapanga kuhusiana na mgogoro wa shamba hilo. 


Taarifa toka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa LINDI, Renatha Mzinga