aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, May 13, 2014

HIZI NDIZO SABABU ZA SOLANGE KUMSHAMBULIA JAYZINASEMEKANA HIZI NDIZO SABABU ZA SOLANGE KUMSHAMBULIA SHEMEJI YAKE JAYZ

1.JAYZ ALIWAKATAZA RAFIKI WA SOLANGE WASIINGIE KWENYE PARTY WALIYOKUWEPO YEYE,SOLANGE NA BEYONCE,RAFIKI WA SOLANGE WALIISHIA MLANGONI

2. JAYZ ALITAKA KUMUACHA BEYONCE USIKU ULE ILI AENDE KWENYE AFTER PARTY YA RIHANNA ILIYOKUWA IKIFANYIKA USIKU ULE

HIZO NDIZO SABABU KUU ZA UGOMVI

SOURCE:HELLO BEAUTIFUL