aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, May 23, 2014

FISI ALAZIMIKA KUJIFICHA NDANI YA TUMBO LA MZOGA WA TEMBO BAADA YA KUVAMIWA NA SIMBA


FISI ALAZIMIKA KUJIFICHA NDANI YA TUMBO LA MZOGA WA TEMBO BAADA YA KUVAMIWA NA SIMBAKatika kujiokoa kwenye hatari yeyote ile si tu watu ambao wanaweza kupata wazo la ajabu la kutenda ilimradi tu kuepukana na mauti, fisi mmoja aliyekuwa katika lishe yake alijikuta katika wakati mgumu baada ya kulazimika kujificha kwenye tumbo la mzogo wa tembo ili kumkwepa simba dume aliyemvamia ghafla.

Fisi huyo aliyaona mauti yaleeeeee, lakini aliona ni heri kukaa ndani ya tumbo la tembo kulikoni kuliwa na simba. picha zifuatazo zinaonyesha namna fisi huyo alivyojificha na baadae kufanikiwa kukimbia baada ya kupata upenyo.
Tukio hilo halijatokea mbali bali ni kule Masai Mara, pata uhondo huo..