aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, May 11, 2014

HII NDIYO COMEDY YA MAPENZI ILIYOFUNGIWA HUKO KENYA.

1
“House of Lungula” ni comedy ya kwanza ya mapenzi inaonyesha maisha halisi ya kimapenzi ya jamii za watu wa Africa hasa wa Kenya, movie hii ni ya comedy iliyoruhusiwa kuangaliwa na watu wazima tu, kutokana na mambo yanayotendeka ndani ya filamu hiyo, waigizaji maarufu wengi ambao hukutegemea kuwepo wamehuika humo ndani. Baada ya kupewa airtime kwa muda mfupi sana kwenye televisheni mbali mbali za huko nchini Kenya, Filamu hiyo imefungiwa sasa kuonyeshwa kutokana na movie hiyo kupitiliza maadili yanayostahili hata baada ya kupitishwa na bodi ya filamu, inasemekana kuwa hata jina la filamu hiyo maana yake tu ya neno hilo “Lungula” ni la kiutu uzima tosha.
House-oflungula
“Recent example is the unofficial ban of the comedy’s TV commercial from by leading Kenyan broadcaster, which earlier this year has also canceled the cast’s appearance on a prominent talk show because the name of the film is not decent for their audience!,” alisema producer wa movie hiyo. Hii ndiyo kipande cha filamu hiyo.