aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, May 4, 2014

NGONO: WANAWAKE NA WANAUME TUNAPOAMUA 'KUJIACHIA' NA MADHARA YAKE…YAPO HAPA SOMA ZAIDI

 

Kwa mara nyingine tena nimeona vema nishirikiane nanyi katika hii hoja ya kujiachia kwa miili yetu katika kufanya mapenzi na wapenzi wetu. Hapa ninaposema kujiachia sina maana kujiachia wakati wa faragha kufurahia tendo…

 Bali nazungumzia kujiachia kwa bahati mbaya ama makusudi na kutojali ama kuzingatia ni idadi ngapi ya watu unashirikiana nao iwe kwa siku, juma (wiki), mwezi ama hata mwaka.

Suala lililopo hapa (hasa kwa akina mama/dada) wengi hujiweka katika kundi la kutokujiachia ovyo na hali kumbe wapo katika kundi la wanao jiachia. 


Kwako msomaji naomba tulia na jitafakari ukiwa mkweli kwa nafsi yako kama upo kundi hili la kujiachia. 

Kujiachia kupo tofauti, kuna kujiachia unakuwa na mpenzi mmoja mmoja lakini hadumu zaidi ya miezi mitatu, na hapo hapo gap ya kuwa na mwingine zimefuatana kama ngazi. 

Hivyo kukufanya uwe umelala na walau watu 4-6 kwa mwaka (hivo kama ulianza huo mchezo katika umri wa miaka 17 na upo miaka 25 ina maana umeshawahi lala na wanaume si chini ya 25).

Pia kuna kujiachia kwa kuchanganya wapenzi ama kutoka nje ya mahusiano ya 
mpenzi/mwenza wako. 

Huku kutoka kama ni kubadilisha kila siku huko nje ndiyo kujiachia kwenyewe, lakini kuna unafuu kwa yule ambaye ana-maintain mtu huyo anayetoka naye (take note sihalalishi). Ila ndiyo ukweli wenyewe.

Hata hivyo tuangalie sababu ambazo hutufanya tujiachie ni zipi…

No comments:

Post a Comment