aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, July 27, 2013

RAISI MUGABE WA ZIMBABWE AMCHANA LIVE OBAMA




Raisi mugabe amchana obama kuwa ujinga anaoufanya wa kuziforce nchi za Africa kuadopt sera na mambo ya mapenzi ya jinsia moja,hili limetoke katika moja ya kampeni za mwanaharati huyu mh. Mugabe
na haya ndiyo maneno alomchana na kumshangaa obama ambaye amezaliwa Africa lakin anafanya uchafu kama huu ikiwa yeye kazaliwa kwa matokeo ya mwanaume na mwanamke sasa linatoka wapi hili la mapenzi ya jinsia moja??
"
"Then we have this American president, Obama, born of an African father, who is saying we will not give you aid if you don’t embrace homoséxuality," Mugabe said.
"We ask, was he born out of homosexuality? We need continuity in our race, and that comes from the woman, and no to homoséxuality. John and John, no. Maria and Maria, no."

No comments:

Post a Comment