aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, July 30, 2013

PHOTOS/VIDEO: Kutana na waTanzania wanaomiliki Chuo cha Uuguzi nchini Marekani

Photos & video: Kutana na waTanzania, Michael Katunzi na Robert Otto wanaomiliki Chuo cha Uuguzi, Kansas College of Nursing, nchini Marekani.

Karibu katika mahojiano baina ya Jamii Production na waTanzania wanaomiliki Chuo cha Uuguzi cha Kansas Ndg Michael Katunzi na Ndg Robert Otto
Katika mahojiano haya, wanaeleza mambo mbalimbali ikiwemo walipopata na walivyopata wazo la kuanzisha chuo hiki, walivyoanzisha na walipo hivi sasa, changamoto walizokutana nazo kuanzia kuanzisha mpaka kilipo sasa, mafanikio yao na ya chuo chao pamoja na mipango yao juu ya chuo hicho kilicho katika nafasi za juu miongoni mwa vyuo vya uuguzi jimboni humo.
Wafanyakazi wa Kansas College of Nursing
Wafanyakazi wa Kansas College of Nursing
Wafanyakazi wa Kansas College of Nursing wakipozi kwa picha
Wafanyakazi wa Kansas College of Nursing wakipozi kwa picha
Wanafunzi wa Kansas College of Nursing wakiwa darasani
Wanafunzi wa Kansas College of Nursing wakiwa darasani
Wanafunzi wa Kansas College of Nursing wakiwa darasani
Wanafunzi wa Kansas College of Nursing wakiwa darasani
Wanafunzi wa Kansas College of Nursing wakipozi kwa picha ya pamoja
Wanafunzi wa Kansas College of Nursing wakipozi kwa picha ya pamoja
Wanafunzi wa Kansas College of Nursing wakipozi kwa picha ya pamoja nje
Wanafunzi wa Kansas College of Nursing wakipozi kwa picha ya pamoja nje

No comments:

Post a Comment