aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, July 28, 2013

TID AIBIWA POWER WINDOW NA BAADHI YA VITU KATIKA GARI LAKE

Gari la TID baada ya kuibiwa vifaa.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Khaleed Mohamed 'TID', usiku wa kuamkia leo ameibiwa vifaaa mbalimbali katika gari lake ikiwemo power window. Kupitia akaunti yake ya Facebook, TID ameandika kuwa mtu aliyemwibia atakuwa anamjua na akaahidi kutoa shilingi laki mbili kwa mtu atakayemtajia mwizi wake ambapo ametoa na namba yake ya simu. 
Alichokiandika TID katika akaunti yake ya Facebook.
Khaleed Mohamed 'TID'.

No comments:

Post a Comment