aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, July 30, 2013

VIDEO IKIONYESHA JINSI WAKE ZA WATU WANAVYOGEUKA MAKAHABA MCHANA...!!

 

Hivi karibuni kituo cha K24 cha nairobi kilibaini kile ambacho watu wengi kiliwaacha mdomo wazi kuwa, wapo wake za watu wanaofanya shughuli za kuuza miili yao mchana na usiku kurejea nyumbani kwenye ndoa zao. Kwenye uchunguzi huo wa hatari, waandishi wa kituo hicho walienda kwenye baadhi ya madanguro na kujifanya wateja huku wakiwa na camera zilizokuwa zimefishwa. Tazama video hii itakayokuacha mdomo wazi.


No comments:

Post a Comment