aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, July 30, 2013

Abambwa na misokoto 20 ya bangi. Aimbia korti alidhani ni sigara


Bangi
MZEE aliyepatikana na misokoto 20 ya bangi aliambia mahakama kuwa aliiokota akidhani ni sigara.
Dickson Murithi alimwambia Hakimu Mkuu wa Nyeri, Wilbroda Juma kuwa alikuwa anatembea katika eneo la Nyaribo alipokutana na vijana walioangusha pakiti ya sigara aliyookota na kuona misokoto asiyojua ilikuwa ya nini.
Kisha alikutana na polisi waliomkagua ka kupata misokoto ya bangi. Hakimu alimwachilia kwa dhamana ya Sh50,000. Kesi itasikizwa Septemba 2. Source:SwahiliHub

No comments:

Post a Comment