aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, July 28, 2013

Photos: Mkenya wa kwanza kucheza National Football League(NFL) nchini USA

Daniel Adongo aliyezaliwa tarehe 12 October 1989, jijini Nairobi Kenya, alikua ni mchezaji wa rugby na hivi sasa ameweka historia kwa kuwa ni Mkenya wa kwanza kusajiliwa kucheza katika mchezo wa American “Football” na timu ya Indianapolis Colts ya National Footbal League (NFL)


adongo-bulls
adongo_daniel
Daniel-Adongo0
4e6b5328-283d-4fa4-b1d3-a8a7a3e486a8
Daniel-Adongo
DanielAdongo

No comments:

Post a Comment