aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, July 30, 2013

NAMNA YA KUTUMIA WHATSAPP KWENYE COMPUTER YAKO.

Wengi wanalalama kuwa cm zao hazina whatsapp au wanashanga vipi mie napatikana kwenye hiyo mambo wakati na cm yangu ni ya Tochi tu.

Hebu cheki maelekezo  hapo chini ukimaliza kumbuka kuni Add na mimi ili tutumiane ma picha na mambo mengine….

Download App inaitwa Bluestack Kutoka hapa Run Mobile Apps on Windows PC or Mac with BlueStacks | Android App Player then Run Hyo app so Utakua na Access na Playstore so utaweza Kudownload App zote Ikiwemo Whatsapp Instagram, viber, tango, na nyingineee tu.
ila Hyo App Ni ina Mb 8 tu ila inahtaji Specs kubwaaa kwanza Ram Lazma Iwe 2gb Pia Graphic accelerator lazma ziwe Updated… So Kabla Ya Kudownload Na Kuinstall Fix Hzo kwanzaaa

Ukisha insall bluestack, ingia kwenye google play install go launcher ex, itaifanya hiyo bluestack iwe na mwonekano mzur wa android kama za cm, bt kunakua hakuna mwingiliano wwte kati ya pc na bluestack mfano ukitaka kutuma picha kwa kutumia watsapp na kama hiyo picha imo kwenye pc, inatakiwa ui install dropbox kwenye pc yako.

Kumbuka, youwave ni yakulipia (Ingawa unaweza kuichakachuwa) ila bluestack ni ya bure, isipokuwa ina ishu za ram, vga drivers etc ndo maana siipendi.

2 comments:

  1. SORRY LG T500 NILIKUWA UNIJULISHE KAMA INAFUNGUA WHATSAPP

    ReplyDelete
  2. Nadhani inaweza jaribu kwenda google ukiandika watakusaidia ndugu yangu

    ReplyDelete