aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, July 27, 2013

MODEL WA TANZANIA ANAYETANGAZA BIDHAA ZA ADIDAS


Danny David, ambaye kitaaluma ni mwanasheria aliyehitimu shahada ya sheria kutoak chuo kikuu cha Tumaini – Iringa ndiye mwanamitindo pekee kutoka Tanzania ambaye ameingia mkataba wa kufanya kazi ya kutangaza nguo na viatu vya kampuni kubwa ya Adidas tawi la Afrika ya kusini.

Kijana huyu alianza kuonekana kwenye fashion mwaka 2012 kwenye maonesho ya Swahili Fashion Week chini ya mwanamitindo maarufu nchini Mustapha Hasanali. Aidha, ameshiriki kuonesha mavazi kwenye Harusi Fashion Week iliyofanyika chini ya mbunifu wa mavazi Ally Rehmutula na pia alishawahi kushiriki na kushinda kwenye mashindano ya wanamitindo ya Maridadi Model Search yaliyofanyika hapa Tanzania.



No comments:

Post a Comment