aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, July 28, 2013

VIDEO, part 2: Makahaba wanaoenda kuwachuna wakulima, msimu wa mavuno ukifika

Sehemu ya pili ya stori ya makahaba wafungao safari siku mbili kutoka Mombasa kwenda kuwachuna wakulima wa chai wakati wa msimu wa mauzo.
Baada ya habari kuenea kuwa wakulima wa majani chai washapokea malimbikizi yao, baadhi ya makahaba na mashoga walifunga safari na kuelekea katika miji iliyoko katika maeneo yanayokuzwa majani chai, wakiwa na lengo la kuipupusa mifuko ya wakulima hao.Kwenye sehemu ya pili ya makala mwewe wa malimbikizi, mwanahabari wetu wa K24 alipata fursa ya kuwapata vibiriti ngoma hao wakiwa katika biashara yao ya kuuza ngono na kutuandalia taarifa ifuatayo.Taarifa hii ina kizuizi cha miaka, haswa kwa watoto wadogo.

No comments:

Post a Comment