aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, July 27, 2013

HUYU NDIO DIAMOND PLATINUM, AENDA AFRIKA KUSINI KUREKODI VIDEO YAKE MPYA

Msanii anayependwa na mashabiki wengi wa muziki wa Bongoflava nchini na Afrika kwa ujumla Nassib Abdul maarufu kama Diamond yuko nchini Afrika Kusini akirekodi video yake mpya kabisa.
Taarifa kutoka kwa vyanzo vya ndani na vya kuaminika zinasema kuwa Diamond ameondoka hivi karibuni kwenda kurekodi video hiyo ya wimbo unaojulikana kama "Tumetoka Mbali"ambao inasemekana amemuimbia mke wake mtarajiwa Penniel Mwingila anayejulikana kwa jina la DVJ Penny mtangazaji kutoka Television ya DTV.
Diamond amekwenda Afrika kusini kufanya video hiyo na Kampuni maarufu ndani ya Afrika Mashariki yenye maskani yake Nchini Kenya inayoitwa OGOPA, na vifaa vinavyotumiwa kurekodia video hiyo ni vya kisasa. (punde tutaweka picha za video hizo)

No comments:

Post a Comment