aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, July 28, 2013

BOMOABOMOA IMEWAKUMBA WAKAZI WA BOKO LEO



Bomoabomoa imewakumba wakazi wa boko basihaya uboaji wa nyumba zai ya mia moa 100 umeanza toka leo kwa mujibu wa diwani wa kata ya Bunju anaejulikana kwa jina la Majisafi amesema zoezi la ubomoaji wa nyumba hizo ni kutokana na mpango wa dawasa wa kupitisha bomba kubwa la maji kwa wakazi wa jijini Dasr es salaam amedai kuwa nyumba hizo ambazo baadhi yao wamejenga katka barabara ya bombo na wengine ni pale sehemu ya nyumba zao zimezidi kidogo wananchi hao ambo leo walikuwa na kikao cha wananchi kwa madai ya kutopewa taarifa mapema na uwekaji wa alama za ukutani zimewekwa alama za x na nyingine kuielekeza bomoa

kijiko kikiwa kazini leo kusafisha barabara











zahanati ya boko nayo yavunjwa


vijana nao wajipatia kuni mara baada ya kungolewa kwa miti


mkutano wa wananchi wa boko leo


mkutano wa wakazi leo


wakazi wakichangia kwenye mkutanoleo


BIBI Hamida kilemba mkazi wa boko akionyesha alama aliyowekewa na dasawa kluashiria kubomo sehemu hiyo



moja ya jengo la ghorofa la bwana Allan Lema linatakiwa kubomolewa kupisha ujenzi wa bomba kuu lwa dawasa

No comments:

Post a Comment