aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, July 28, 2013

Cheki video ya bingwa wa kula “Chicken Wings”, kala vipande 179 ndani ya dakika 10.





0726-joey-chestnut-wings-article-2
Mashindano ya kula siku hizi hapa Tanzania siyo maarufu sana, lakini nchi za nje restaurant nyingi huwa wanaandaa mashindano haya. Hooters kampuni inayomiliki restaurant kadhaa duniani, waliandaa mashindano ya kula chicken wings. Sasa jamaa mmoja katia fora kwa kuibuka mshindi baada ya kula chicken wings 179 ndani ya dakika 10. Hapo amemuacha vipande 24 mpinzani wake wa karibu ambaye ni msichana aliyekula vipande 155 vya chicken wings, huyu naye ni mdada lakini na yeye yumo sana. Hii kali mtu wangu, shuhudia mwenyewe video ya jinsi walivyokuwa wanakula kwa spidi ya ajabu hivi vipande vya kuku.
b2s_hooters072613_11195732_8col

No comments:

Post a Comment