aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, July 28, 2013

JACK WA CHUZ AFUTURISHA


Jacqueline Pentzel 'Jack wa Chuz' akiwahudumia futari waalikwa.
Rafiki wa karibu wa familia, Abdul Faki akigawa uji kwa waalikwa.
Waalikwa wakichukua msosi tayari kwa kufuturu.
Jack na mumewe (katikati) wakiwa katika pozi la pamoja na mkwewe mzee Dibibi aliyekaa kushoto na kulia ni shemeji yake Jack.
 Jacqueline Wolper (kulia) akibadilishana namba ya simu na mmoja wa marafiki zake muda mfupi baada ya kuwasili.
Snura Mushi akipata tende muda mfupi baada ya futari.
Yusuf Mlela (kulia) akisalimiana na mmoja wa waalikwa. Katikati ni mume wa Jack, Gardner Dibibi.
STAA wa Filamu Bongo, Jacqueline Pentzel na mumewe Gardner Dibibi, jana jioni walipata muda wa kualika baadhi ya marafiki zao na ndugu wa karibu nyumbani kwao kwa ajili ya futari.

No comments:

Post a Comment