aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, July 29, 2013

VIDEO FUPI YA LULU AKICHEZA NA MAMA KANUMBA..!!

Ni siku kadhaa zimepita toka mwigizaji Lulu kuongea kwenye interview na Take One ya Clouds TV na kusema huenda siku moja akaja kuimba nyimbo za injili.

Ni siku kadhaa zimepita toka mwigizaji Lulu kuthibitisha kupitia Take One ya Clouds TV kwamba Mungu akijalia siku za karibuni atakuja kuigiza movie moja na mama wa Marehemu Steven Kanumba.

Baada ya hayo yote sasa nakualika kutazama hii video ya Lulu akicheza wimbo wa gospel pamoja na Mama Kanumba

Pamoja na yote yaliyosemwa kuhusu Uhusiano wa Lulu na Mama Kanumba, hii video inathibitisha kwamba uhusiano wao unazidi kukua na wanakua karibu zaidi baada ya matatizo yaliyotokea.
 


No comments:

Post a Comment