aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, July 29, 2013

VIDEO: Nando atimuliwa BBA kwa kuficha silaha na kutishia wenzie

Baada ya kuingia kwenye ugomvi na mshiriki mwenzake Elikem wa Ghana kwa matusi na kuonekana akijihami kwa silaha kama mkasi na kisu, Nando ametolewa kwenye Big Brother Africa (BBA The Chase.)

No comments:

Post a Comment