aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, July 27, 2013

HUZUNI..Mwanafunzi anaedaiwa kufariki Tabora baada ya kuzidiwa na mazoezi ya Jeshi, Halima Kitangilwa (20) amezikwa leo Dar.

Mwanafunzi anaedaiwa kufariki Tabora baada ya kuzidiwa na mazoezi ya Jeshi, Halima Kitangilwa (20) amezikwa leo Dar.

Baba yake amesema amedanganywa kuhusu chanzo cha kifo lakini ndugu zake waliokuwepo jeshini wamemwambia ukweli, analaumu pia hajapewa ripoti ya uchunguzi wa mwili.

No comments:

Post a Comment