aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, December 11, 2013

"Siwezi kushindana na DIAMOND "...WEMA


Je wewe ni kati ya wanaoamini kuwa wapenzi ‘wa zamani’ Wema Sepetu na Diamond Platnumz wanashindana kwa namna yoyote? Star wa kipindi cha ‘In My Shoes’ Wema Sepetu ameshare ujumbe kwa wote wanaofikiria hivyo.


Kupitia Instagram ameandika kuwa kitu pekee kinachosababisha watu wahisi hivyo ni kutokana na wote wawili kuwa na mafanikio katika fani zao (muziki na movie), na kuongeza 

kuwa hawezi kushindana na Diamond sababu yeye sio muimbaji. 
Source: Bongo 5 

No comments:

Post a Comment