aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, December 21, 2013

MGANGA WA KIENYEJI AMPIGA MKEWE MPAKA AMVUNJA TAYAMariam Crispin Kilimba(52)mkazi wa Ipuli manispaa ya Tabora anayedaiwa kupigwa na mumewe Bw.Himid Hassan Kitebo(58)ambaye ni mganga wa Kienyeji na kusababisha kumvunja taya.
Bi.Joha Aman(38)mkazi wa kata ya Isevya alipigwa na mumewe na kujeruhiwa vibaya ambapo amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete.Matukio ya ukatili wa kijinsia mkoani Tabora bado yanaendelea kushika kasi siku hadi siku.