Shabiki mmoja wa Simba alitoa kali ya mwaka baada ya kuchukua kipande cha jezi ya beki Kelvin Yondani na kujifutia makalio.
| SHABIKI WA SIMBA AKIJIFUTIA MAKALIO YAKE KIPANDE CHA JEZI YA YONDANI HUKU AKIWAONYESHA MASHABIKI WA YANGA. |
Yondani aliyewahi kukipiga Simba kabla ya kutua Yanga, aliwarushia mashabiki hao jezi wakati akitoka uwanjani baada ya kupewa kadi nyekundu.
|
Nao wakaigombea kwa takribani dakika mbili na kuichana vipande, halafu shabiki huyo akachukua kipande chake na kuanza kujifuta makalio huku akiyaelekeza kwenye upande wa mashabiki wa Yanga.


No comments:
Post a Comment