aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, December 15, 2013

MAAJABU:MBUZI AZAA MTOTO ANAYEFANANA NA BINADAMU HUKO KENYA,ANGALIA VIDEO

Wakazi wa eneo la Likoni, Mombasa nchini Kenya walipatwa na mshangao mkubwa mara baada ya mbuzi mmoja kujifungua mtoto mwenye sura inayofanana na binadamu.

Tukio hilo lilifanya shughuli mbalimbali kwenye kijiji hicho kusimama huku wakazi wa eneo hilo wakiwa wanastaajabu juu ya tukio hilo la ajabu.
 
Tazama video ya tukio hilo hapo chini....

No comments:

Post a Comment