aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, December 17, 2013

PICHA:KUTANA NA MWANAUME ALIYEJIBADILISHA NA KUWA MWANAMKE

  Najua baadhi yenu mtaanza kufikiria kwamba hii ninayowapa ni kamba, hakika sio na ni kitu cha kweli. 

Kwanza nahitaji muangalie kwa makini miguu ya mtu huyu, naamini tutaenda sawa, kama ulikuwa hufahamu kuna tofauti kubwa kati ya miguu ya mwanamke na mwanaume.

Anajulikana kama Ms Sahara ambaye aliwahi kuwa mwanaume, je ungeweza kuhisi hivyo?

Hakika kujibadili kwake ni kwa kushangaza, anaweza kuhesabiwa kama ni msichana mwenye umri wa miaka 28 ambaye alizaliwa kama mwanaume, mwanzoni alijulikana kama Oche aliyewahi kuishi Abuja kwa miaka kadhaa kabla ya kuhamia Uingereza miaka 7 iliyopita ambapo kwa sasa anaishi kama mwanamke.

Ms Sahara pia ni mlimbwende ambaye aliwahi kushika nafasi ya pili kwenye shindano la Miss International Queen 2011.

Baadhi yetu najua hamtoweza kuelewa, ila hebu tujaribu kuamini.....