aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, December 19, 2013

Kaka na Dada Wakutwa Wakifanya Mapenzi Live Coco Beach..!

UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni. Usemi huu unakamilishwa na tukio
 la kunaswa kwa vijana wawili wenye undugu wa damu wakifanya mapenzi   kando
 ya Ufukwe wa Bahari ya Hindi
Imefahamika kwamba vijana  hao, kaka na dada   wamenaswa ‘wakingonoka  
katika
 mapango yaliyopo kando ya Ufukwe wa Coco, Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Tukio zima lilitokea mchana kweupe wa saa 9 na kudhihirisha habari za mara
 kwa 
mara zinazoeleza kwamba Ufukwe wa Coco umekuwa ukitumika kwa ufuska 
usiku 
na mchana.

Risasi  lilinasa tukio hilo kwa kutumia mitambo maaalum iliyoelekezwa kando ya
 bahari.

Wawili hao walinaswa tangu walipokuwa wakiingia katika ufukwe huo na kuwafuatilia
 nyendo zao, hatua kwa hatua.

 Haikufahamika mara moja kama wawili hao walikuwa na makubaliano ya kwenda
 kuduu katika ufukwe huo au la, lakini kwa mbali ilionekana kama vile dada mtu
 alikuwa akizingua kwenda kutenda dhambi hiyo.

Picha za video zilizonaswa, zinamuonesha dada huyo akionekana kutoa upinzani pale alipokuwa akishikwashikwa na kaka yake.

Alionekana kama vile hakuwa tayari kwa mchezo huo.
Hata hivyo, kaka mtu anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 23-26 alikuwa 
akilazimisha kitu fulani ambacho kilionekana dhahiri kupitia kamera zetu.
Ni kama vile hawakuwa na makubaliano na kile walichokuwa wakienda kukifanya.

Mara kadhaa dada huyo alionekana kumkwepa kaka yake na alikuwa akijiondoa
 karibu yake pale alipomlazimisha kutaka kumfanyia kitu kisichokuwa cha kawaida.

Kamera za Risasi ziliwafuatilia wawili hao kwa kuwa walionekana kuwa na kitu
 ‘spesho’.

 Mpaka wanazama katika mapango yaliyopo kando ya ufukwe huo wa Coco, kamera
 zilikuwa zikiendelea kuwachukua hadi walipozama ndani kabisa ya mapango hayo.

Walipozama ndani ya mapango hayo, ghafla walitokea askari ambao nao walikuwa 
wakifuatilia nyendo za wawili hao.

Askari hao wa Kituo cha Oysterbay, wakiongozwa na kamanda wa oparesheni
 maalumu katika Wilaya ya Kinondoni, Kamanda Swai walifuatilia kwa umakini 
tukio hilo.

Wakiwa chini ya mapango, kaka na dada waliondoa vinguo vilivyokuwa maungoni
 mwao na kuanza kuduu kama vile walikuwa katika ufukwe unaoruhusiwa kufanya
 vitendo hivyo.

Kabla askari hawajawavamia, waliwashuhudia wawili hao wakiwa katika kilele cha
 sterehe yao huku dada mtu akionesha kutoa ushirikiano kwa shingo upande.

Ghafla, askari waliwavamia na kuwatibulia starehe yao kisha kuwatia mbaroni.

Baada ya kuona kuwa wamevamiwa na askari, kaka mtu alichomoka na kutafuta
 silaha ili kuweza kujihami na wavamizi wake bila ya kujua kama ni askari.

Katika hilo nusura zipigwe kati ya askari na kaka huyo ambaye alikuwa akitaka 
kupigana na watu asiowajua kwa kuwa walikuwa wametinga mavazi ya kiraia.

Hata hivyo, alitulizwa na kutakiwa kuvaa pensi yake ili aweze kutoa maelezo kwa
 kina.

Wakati yote yakiendelea, dada mtu alikuwa amepigwa na butwaa na kutojua cha 
kufanya hadi aliporushiwa kitenge chake kilichokuwa pembeni ili ajisitiri mwili
 wake.

Katika mahojiano ya awali yaliyoongozwa na Kamanda Swai, ilibainika kwamba 
wawili hao ni ndugu wa damu yaani kaka na dada.

Maelezo hayo yanasema kuwa dada mtu alitoka mkoani na alikuja kutembea jijini
 Dar es Salaam, ndipo kaka yake alipomtaka watoke kwenda kumuonesha vivutio
 vya jiji hilo.

“Nina miaka 19, nimetokea Iringa kuja Dar kutembelea familia lakini kaka akanileta 
huku na kunifanyia vile, siyo kama tulikuwa tumekubaliana,” alisema dada huyo 
kwa aibu.

Kaka mtu alikiri kile kilichosemwa na dada yake na kushindwa kujitetea kwa
 kuwa kila kitu kilikuwa hadharani.

Wawili hao walichukuliwa na kupelekwa katika Kituo cha Oysterbay kwa ajili ya
 kufunguliwa kesi ya uzembe na uzururaji na kusekwa rumande kabla ya
 kufikishwa mahakamani.

No comments:

Post a Comment