aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, December 21, 2013

VIDEO 10 ZA MUZIKI TANZANIA ZILIZOTOKA MWAKA 2013 ZENYE MAADILI MABOVU, HUWEZI KUANGALIA UKIWA NA WATU WENYE HESHIMA ZAO

 Unaweza kuwa umewahi kuziona video kadhaa kati ya hizi ukiwa na mtoto, mzazi ama mtu unayemheshimu na ukatamani ushike remote ubadilishe channel. Hizi ni video zinazoonekana kwenda tofauti na maadili ya kawaida ya Mtanzania na nyingi zinaamsha hisia za mapenzi.
Video hizi 10 ni miongoni mwa video za muziki za Tanzania ambazo hushauriwi kuziangalia mbele ya watoto. Na zingine tayari zimepigwa marufuku kuchezwa ama zimehaririwa kidogo. Ni video zinazotakiwa kuangalia na watu wenye umri kuanzia miaka 18. Nazo ni: 
Climax Bibo – Ujuzi


Snura – Nimevurugwa
Shilole – Paka la Bar
Jux – Uzuri WakoBAMUYU KIJOGOO & TUNDA MAN Issa E – ChecheShaa – Sugua Gaga
Madee – Sio Mimi (Pombe Yangu)Baba Levo Ft H.Mbizzo – Nyong’onyeza.(Official Video)
Jokate feat. Lucci – Kaka Dada