aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, December 20, 2013

PICHA: HONGERA NDUGU YANGU KIPENZI HUSSEIN SHEMWETA KWA KUVUTA JIKO,DAA MWAKA HUU UNAISHA VIZURI SANA KWENU NDUGU ZANGU

Alvin collections inatoa pongezi zake kwa mdau na ndugu yetu mkubwa anayejulikana kwa jina la bwana hussein shemweta na bi jamila said katila kwa kufunga pingu za maisha. Ndoa ilifungwa tarehe 5/12/2013 nyumbani Tanga na kufuatiwa na harusi tarehe 6/12/2013 ukumbi wa mamba club, Korogwe Tanga.
Mungu awajalie muwe na familia bora na mzae watoto wakue salama amin.. 


 















No comments:

Post a Comment