aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, December 25, 2013

PICHA:AZAM TV NDO HABARI YA MJINI KWASASA,CHEKI MAPICHA YA SKWADI NZIMA YA AZAM TV IKIELEKEA ZANZIBA KWA AJILI YA KOMBE LA MAPINDUZI


 Timu nzima ya Azam TV Burudani kwa wote itakuwa Unguja na Pemba kuwaletea LIVE mashindano ya Mapinduzi Cup 2014. Timu za Simba, Yanga, Mbeya City, Unguja Combine, Pemba Combine, Chuoni, KMKM, AFC Leopards na Tusker toka Kenya na URA na KCC za Uganda zimethibitisha kushiriki
Usiache kununua kisimbuzi (king’amuzi) chako cha Azam TV haraka uweze kujionea uhondo huu live, Mechi 26, viwanja viwili, timu 12 Bingwa mmoja
Ratiba ya mechi ni mechi tatu kila siku saa 10:00 Jioni, Saa 01:00 Usiku na saa 02:30 Usiku kuanzia Tarehe 1 Januari 2014 hadi tarehe 13 January 2014