aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, December 28, 2013

MKE WANGU ANANIPANGIA RATIBA ZA KUFANYA NAE MAPENZI,USHAURI JAMANI 
 Mimi nina mke na mtoto mmoja ..Yaani toka mke wangu alipojifungua Napangiwa Ratiba za ku do ...kwa week Mara mbili tu ..na mie nataka kugegeda kila siku ..Naomba ushauri Admin