aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, December 17, 2013

"Kwani Kuna ubaya gani nikitangaza hadharani kwamba natafuta mwanaume wa kunilala??...." Recho


Msanii wa THT, Rachel Haule ameijibu taarifa iliyoandikwa na mitandao ya nchini Kenya kuwa aliwaaibisha wasanii wenzie wa Kigoma All-stars waliokuwa kwenye show mjini Mombasa, Kenya wiki iliyopita kwa kuongea mbele ya waandishi wa habari kwamba anatafuta mwanaume wa kumlala  na kumridhisha kimapenzi.

Akizungumza na mwandishi wetu leo  baada  ya  taarifa  hii  kusambaa, Recho amesema ni kawaida yake kusema hivyo katika show nyingi ambazo amekuwa akizifanya kama njia ya kucheza na akili za mashabiki wake.
 
“Binafsi yangu nipo na mchumba, anajuaga kama naongea hivyo kwahiyo sio kitu cha ajabu ambacho kikawafanya watu wanifikirie vibaya. Kwani kuna ubaya gani nikasema natafuta mtu wakungonoka  naye ,naona hakuna ubaya,sijaongea lugha mbaya ya matusi ni kitu cha kawaida kwa fans wangu,” alisema Recho.
 
Hii  ndo habari hiyo iliandikwa kwenye mtandao wa Standard Digital News wa Kenya :
 Tanzanian superstar begs for ‘sexu*8l satisfaction’
Tanzanian musician shocked journalists when she screamed to the cameras that she needed to be ‘sexu**lly satisfied’. Recho, who was talking to reporters after the Kigoma All-stars concert in Mombasa, said that she wanted a man to ‘end the night with.’ 
 
Disappointed that her wish did not come true, the musician, famous for her song Upepo, told reporters and anyone who cared to listen that they ‘couldn’t handle a woman’.
 
Recho was not the only disappointed musician that night as her Tanzanian counterpart Maunda was spotted backstage crying after being booed offstage by the crowd

No comments:

Post a Comment