aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, December 18, 2013

AJALI:AGONGWA NA KIBERENGE, AVUNJIKA MGUU


Mabaki ya damu yakiwa yametapakaa kwenye Kiberenge.
Pikipiki ambayo imegongwa na Kiberenge.
Kiberenge kikiwa kimeacha njia baada ya ajali.
Askari polisi akichukua maelezo kwa baadhi ya watu walioshuhudia ajali hiyo.
Wananchi wakiishangaa pikipiki katika eneo la tukio.
Mtu mmoja ambaye jina lake halikuweza kujulikana mara moja akiwa kwenye pikipiki yake 
leo mchana maeneo ya Banda la Ngozi, Ilala jijini Dar es Salaam amegongwa na Kiberenge na kuvunjika mguu.