Imekua ni kama desturi siku za hivi karibuni kwa wasanii au watu maarufu kufanya vituko kila uchwao...!Rihanna ni moja kati masuperstar wasioisha kumek
headlines, sidhani kama kuna umuhimu wa kuwaita hawa watu maarufu sampuli
hii eti ni KIOO CHA JAMII...Kwa lipi hasa? Kutupia picha za utupu ili wpate kick au niaje?!Hapana ama ze big fan of this gal
Rihanna Robin Fenty but sio siri ananiboa kwa mambo yake ya ajabu....!Superstars like ha ndio wanaosababisha hata dada zetu wa kibongo nao waige
tabia hizi za kujiachia kwa mtando...INAKERA!

source:brotherlucas
No comments:
Post a Comment