aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, December 19, 2013

JAMANI ETI HAYA MAVAZI YANAFAA KWA HOUSE GIRL? 
Wapo watu ambao bado hawajajua madhara ya mavazi, mavazi yanaweza kuharibu nyumba, dada wa kazi akijiachia namna hii na mwenye nyumba unaangalia tu madhara ni makubwa labda kama mnaishi wawili tu hapo ndani ila kama unaishi na mumeo kazi unayooo..!!