aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, December 20, 2013

MTUHUMIWA WA MAUAJI YA PADRI MUSHI HUKO ZANZIBAR AACHIWA HURU KWA DHAMANA


Mahakama Kuu Zanzibar imemuachia kwa dhamana Omar Mussa Makame mwenye mtoto anayetuhumiwa kumuua Padri Evaristi Mushi baada ya kudhaminiwa na wadhamini wawili kwa dhamana ya shilingi laki 5 kila mmoja.


No comments:

Post a Comment