aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, December 28, 2013

HIVI BASATA MKO WAPI?? BONGO MOVIES SIKU HIZI NI ZA KIKUBWA TUU,WATOTO ZETU TUNA WAFUNZA NINI?


Hakika tasnia ya filamu kwa hapa bongo na hata baadhi ya nchi za Afrika zimekuwa zikipotosha na kuharibu jamii zetu hasa vijana.

Kwenye moja kati ya filamu ambazo inategeme kutoka hivi karibuni hizi ni baadhi ya shots zilizochukuliwa.... 

No comments:

Post a Comment