aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, December 22, 2013

PICHA:UYU NDIYE MISS LETUAL RUSSIA 2013 ALIYEOLEWA NA MBONGO

Lyubov Manakova ni mrembo aliyejishindia Miss Letual Russia 2013 jambo zuri kuhusu yeye ni kuwa ameolewa na mtanzania aishie nchini umo anayejulikana kwa jina la Felix. AC inampa hongera kwa ushindi wake huo..mbali na ushindi huo pia mwaka huu mrembo uyo alijishindia taji la Miss Office 2013.Kila la kheri shemeji.











No comments:

Post a Comment