aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, December 2, 2013

LAANA:Binti wa kitanzania ( Rachel Jose ) amuanika rafiki yake ( Minza ) akiwa uchi kisa eti kamuibia mume wake..


Huyu  ni  Minza  aliyeanikwa  akiwa  Uchi.

Mabinti  wawili  waliotambulika  kwa  majina  ya  Rachel  Jose  na  Minza  wamejikuta  wakitia  aibu  baada  ya  kuanza  kusambaza  picha  zao za  uchi  wakilipizana  visasi  baada  ya  kuibiana  mwanaume..

Anayedaiwa  kuiba  mpenzi  wa  mwenzake  ni  Minza  ambaye  amejikuta  akiisherehekea  vibaya  siku  ya  UKIMWI  duniani  baada  ya  picha  zake  kuanikwa  katika  mtandao  wa  facebook  na  Rachel...
Rachel Jose
Kupitia  ukurasa  wake  wa  facebook, Rachel  alitupia  picha  za  uchi  za  Minza  na  kuandika  maneno  yafuatayo.

"Huyu anaitwa minza, nishamkanya asiwe na mausiano na mpenzi wangu lakini.anazidi naomba mazoea kwa mume kumtumia picha za uchi sitaki minza."
Picha  zilizoanikwa  zipo  hapo  chini....

Picha  zilizoanikwa  zipo  hapo  juu....

No comments:

Post a Comment