aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, December 2, 2013

HAJAWAHI KUNIFIKISHA TOKA NIANZE KUWA NAE. NIFANYAJE NA MIMI NAMPENDA SITAKI KUMSALITI..

 

Ni mwezi wa sita sasa toka nimeanza uhusiano na mchumba angu, lakini mara zote nilizowahi kulala nae sijawahi kufika kilele, huwa akimaliza tu yeye husema amechoka, na wakati mwingine hata akijitahidi mimi huwa sifiki ninapo pataka, huwa inanikosesha raha pia nikifikiria kuwa nampenda sana, nimeshawahi kumwambia hii hali mara kadhaa lakini bado sijapata utatuzi. Naombeni Ushauri wadau

No comments:

Post a Comment