aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, December 8, 2013

AIBU:BOB JUNIOR ADAIWA KUVAA NGUO ZA MKOPO

Msanii wa Music ambae pia ni Producer wa Muziki na Mmiliki wa Studio ya Sharobaro Records Bob Junior ameingia katika Aibu Ingine baada ya Duka Moja la nguo Kujitokeza na Kudai Linamdai Msanii huyo Kiasi cha Shilingi 180,000 za Kitanzania ..Muuzaji wa Duka hilo Amesema  Bob Huwa anaenda hapo kuchukua nguo ambazo huwa tunamkopesha mpaka sasa deni limefikia kiasi hicho na tukimtafuta anapiga chenga kulipa..
Gazeti moja la hapa bongo limejaribu kumtafuta Bob kumuuliza kuhusu hiyo issue akasema yeye huwa anachukua nguo hizo kwa ajili ya kulitangaza hilo duka so hadaiwi na mtu


No comments:

Post a Comment